newsare.net
Dar ea Salaam. Mgombea ubunge Kawe (Chadema), Halima Mdee jana Ijumaa Oktoba 23,2020 alikamatwa na jeshi la polisi kituo cha Mbweni na kuhojiwa kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya kunasia sauti kinyume na sheria za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Mdee ahojiwa kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya kunasa sauti
Dar ea Salaam. Mgombea ubunge Kawe (Chadema), Halima Mdee jana Ijumaa Oktoba 23,2020 alikamatwa na jeshi la polisi kituo cha Mbweni na kuhojiwa kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya kunasia sauti kinyume na sheria za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Read more











