newsare.net
Rulensi Igayo (28) mkazi wa kijiji cha Kisaba kata ya Maisome halmashauri ya Buchosa Mkoa wa Mwanza amekufa baada ya kuliwa na mamba wakati akiogelea katika ziwa Victoria.Mwanamke aliwa na mamba
Rulensi Igayo (28) mkazi wa kijiji cha Kisaba kata ya Maisome halmashauri ya Buchosa Mkoa wa Mwanza amekufa baada ya kuliwa na mamba wakati akiogelea katika ziwa Victoria. Read more