newsare.net
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wasioona mkoani Tabora, waliweka azimio kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), iandae utaratibu utakaowawezesha kupiga kura bila msaada wa mtu mwingine kwa kutumia alama zao.Ombi la walemavu wasioona lazaa matunda NEC
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, wasioona mkoani Tabora, waliweka azimio kuwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), iandae utaratibu utakaowawezesha kupiga kura bila msaada wa mtu mwingine kwa kutumia alama zao. Read more