newsare.net
Jimbo la Karatu ndilo lililomuibua Dk Slaa, ambaye alipata umaarufu nchini kutokana na kupinga ufisadi na kuuanika, ikiwemo kutangaza orodha ya mafisadi, maarufu kama List of Shame.Magufuli amtumia Slaa kuikomboa Karatu
Jimbo la Karatu ndilo lililomuibua Dk Slaa, ambaye alipata umaarufu nchini kutokana na kupinga ufisadi na kuuanika, ikiwemo kutangaza orodha ya mafisadi, maarufu kama List of Shame. Read more