newsare.net
Kiwango cha Partey kilionekana kuwa cha kawaida tu kwenye usiku huo wa Arsenal huko Austria, huku mabao ya David Luiz na Pierre-Emerick Aubameyang yakiwabeba na kushinda 2-1 baada ya kipa Bernd Leno makosa yake kuwazawaidia bao la kuongoza wenyewe kwenye kipiPartey amnyanyua kwapa Arteta
Kiwango cha Partey kilionekana kuwa cha kawaida tu kwenye usiku huo wa Arsenal huko Austria, huku mabao ya David Luiz na Pierre-Emerick Aubameyang yakiwabeba na kushinda 2-1 baada ya kipa Bernd Leno makosa yake kuwazawaidia bao la kuongoza wenyewe kwenye kipindi cha pili. Read more