newsare.net
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, atahakikisha kunakuwepo na ushindani wa ununuzi wa korosho kwa wafanyabiashara ili kuondoa utaratibu uliopo sasa.VIDEO: Lipumba kuleta ushindani ununuzi wa korosho
Mgombea urais wa Chama cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, atahakikisha kunakuwepo na ushindani wa ununuzi wa korosho kwa wafanyabiashara ili kuondoa utaratibu uliopo sasa. Read more