newsare.net
Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi amesema changamoto ambazo zimejitokeza tangu asubuhi ni kwa baadhi ya vituo vya kupigia kura kuwazuia au kuwachelewesha mawakala wetu kutimiza majukumu yao.VIDEO: Sugu aeleza changamoto za uchaguzi jimbo la Mbeya
Mgombea Ubunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Mbilinyi amesema changamoto ambazo zimejitokeza tangu asubuhi ni kwa baadhi ya vituo vya kupigia kura kuwazuia au kuwachelewesha mawakala wetu kutimiza majukumu yao. Read more