newsare.net
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema kata ya Igumbilo iliyopo manispaa ya Iringa, Kisingila manispaa ya Kilolo na Nyahanga (mji wa Kahama) hazikufanya uchaguzi baada ya wagombea wake kufariki dunia.Sababu kata nne uchaguzi kutofanyika
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema kata ya Igumbilo iliyopo manispaa ya Iringa, Kisingila manispaa ya Kilolo na Nyahanga (mji wa Kahama) hazikufanya uchaguzi baada ya wagombea wake kufariki dunia. Read more