newsare.net
Kauli za mgombea ubunge Geita Mjini, kupitia Chadema Upendo Peneza zimepishana na zile za msimamizi wa uchaguzi na kamanda wa polisi baada ya kudai mawakala wake kukataliwa na baadhi ya wanachama kushikiliwa na polisiUpendo Peneza alalama mawakala kunyang’anywa daftari
Kauli za mgombea ubunge Geita Mjini, kupitia Chadema Upendo Peneza zimepishana na zile za msimamizi wa uchaguzi na kamanda wa polisi baada ya kudai mawakala wake kukataliwa na baadhi ya wanachama kushikiliwa na polisi Read more











