newsare.net
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi katika kanda hiyo hawajatumia mabomu ya machozi tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 26 hadi leo Oktoba 28, 2020.Mambosasa asema polisi Dar hawajatumia mabomu mchakato wa uchaguzi
Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi katika kanda hiyo hawajatumia mabomu ya machozi tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 26 hadi leo Oktoba 28, 2020. Read more