newsare.net
Kamati ya Saa 72 iliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia mwamuzi Shomary Lawi kutojihusisha na soka kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kushindwa kumudu mechi kati ya Prisons na Simba iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, mjini SumbMorrison aikosa Yanga kwa adhabu
Kamati ya Saa 72 iliyo chini ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemfungia mwamuzi Shomary Lawi kutojihusisha na soka kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kushindwa kumudu mechi kati ya Prisons na Simba iliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, mjini Sumbawanga. Read more