newsare.net
Super sub Marcus Rashford usiku wa kumamkia leo Alhamisi Oktoba 29 amefunga mabao safi matatu katika kipindi cha pili wakati Manchester United ilipowazamisha vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani, RB Leipzig kwa mabao 5-0 na kushika uongozi wa kundi lao la Ligi yaRashford apiga tatu Man u ikishinda 5-0
Super sub Marcus Rashford usiku wa kumamkia leo Alhamisi Oktoba 29 amefunga mabao safi matatu katika kipindi cha pili wakati Manchester United ilipowazamisha vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani, RB Leipzig kwa mabao 5-0 na kushika uongozi wa kundi lao la Ligi ya Mabingwa Ulaya. Read more