newsare.net
Baada ya matokeo ya zaidi ya majimbo 130, zaidi ya nusu ya viti 264 vya majimbo kutangazwa, ni wagombea wawili tu kutoka CUF na Chadema waliotangazwa kushinda ubunge, huku maeneo ambayo upinzani ulikuwa na nguvu kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Manyara na MNi anguko la upinzani?
Baada ya matokeo ya zaidi ya majimbo 130, zaidi ya nusu ya viti 264 vya majimbo kutangazwa, ni wagombea wawili tu kutoka CUF na Chadema waliotangazwa kushinda ubunge, huku maeneo ambayo upinzani ulikuwa na nguvu kama Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Manyara na Mara kuchukuliwa na CCM. Read more











