newsare.net
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kigoma Kusini, Weja Ngollo amemtangaza mgombea wa CCM, Nashon Bidyanguze kuwa mshindi katika jimbo hilo kwa kupata kura 36, 496 akifuatiwa na Evarist Gregory wa Chadema aliyepata kura 2,476.VIDEO: Kigoma Kusini mshindi ni Bidyanguze wa CCM
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kigoma Kusini, Weja Ngollo amemtangaza mgombea wa CCM, Nashon Bidyanguze kuwa mshindi katika jimbo hilo kwa kupata kura 36, 496 akifuatiwa na Evarist Gregory wa Chadema aliyepata kura 2,476. Read more