newsare.net
Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema tangu kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa, haijawahi kutokea chama hicho kupata ushindi mkubwa.Matokeo haya hayajapata kutokea-Polepole
Katibu wa itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema tangu kuingia mfumo wa vyama vingi vya siasa, haijawahi kutokea chama hicho kupata ushindi mkubwa. Read more











