newsare.net
Baraza la sanaa Taifa (BASATA) limekuwa maarufu sana miaka ya hivi karibuni. Huku licha ya kwamba lina majukumu mengi ikiwemo kutoa ithibati kwa kazi za wasanii, kuwatafutia wasanii fursa za kibiashara na masoko; lakini kwa kiasi kikubwa umaarufu wa baraza hiKama wimbo hauna vigezo hivi, Basata wanakuhusu
Baraza la sanaa Taifa (BASATA) limekuwa maarufu sana miaka ya hivi karibuni. Huku licha ya kwamba lina majukumu mengi ikiwemo kutoa ithibati kwa kazi za wasanii, kuwatafutia wasanii fursa za kibiashara na masoko; lakini kwa kiasi kikubwa umaarufu wa baraza hilo unatokana na matukio ya kufungia nyimbo. Read more











