newsare.net
Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amewasihi watu wanaotaka kuandamana waache kwa kuwa polisi wamejipanga kuwapa kipigo alichokiita cha mbwa koko.VIDEO: RPC Dodoma aahidi kipigo kwa watakaoandamana
Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amewasihi watu wanaotaka kuandamana waache kwa kuwa polisi wamejipanga kuwapa kipigo alichokiita cha mbwa koko. Read more