newsare.net
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameahidi kuunda serikali makini itakayozingatia nidhamu na maadili ya viongozi na watumishi, utendaji kazi wenye viwango bora na kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha huduma za jamii.VIDEO: Hii ndio sura ya Serikali atakayoiunda Dr Mwinyi
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameahidi kuunda serikali makini itakayozingatia nidhamu na maadili ya viongozi na watumishi, utendaji kazi wenye viwango bora na kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kuimarisha huduma za jamii. Read more