newsare.net
Mwalimu wa kujitolea katika shule ya Sekondari Kwangu iliyopo Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Rojas willison, amefariki dunia baada kushambuliwa na tembo, wakati akitoka kutafuta mahitaji yake muhimu.Tembo amkanyaga mwalimu, amsababishia kifo
Mwalimu wa kujitolea katika shule ya Sekondari Kwangu iliyopo Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, Rojas willison, amefariki dunia baada kushambuliwa na tembo, wakati akitoka kutafuta mahitaji yake muhimu. Read more











