newsare.net
Watu nane akiwamo aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Berege kupitia Chadema Deogratius Mahinyila, wamefikishwa mahakamani wilayani Mpwapwa wakikabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya Sh29.1 milioni.Aliyegombea udiwani na wenzake 7 wasomewa shitaka la uhujumu uchumi
Watu nane akiwamo aliyekuwa mgombea wa udiwani kata ya Berege kupitia Chadema Deogratius Mahinyila, wamefikishwa mahakamani wilayani Mpwapwa wakikabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya Sh29.1 milioni. Read more











