newsare.net
Siku chache baada ya vurugu zilizosababisha maboksi ya kura kuharibiwa katika kijiji cha Berege Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania baadhi ya vijana kwenye kijiji hicho wamekimbilia mlimani kujificha kukwepa kamata inayoendeshwa na Jeshi la PolisVijana wilayani Mpwapwa wakimbilia milimani kukwepa kukamatwa na polisi
Siku chache baada ya vurugu zilizosababisha maboksi ya kura kuharibiwa katika kijiji cha Berege Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma nchini Tanzania baadhi ya vijana kwenye kijiji hicho wamekimbilia mlimani kujificha kukwepa kamata inayoendeshwa na Jeshi la Polisi. Read more