newsare.net
Ni dhahiri sasa mafanikio yameanza kuonekana kwa kila sekta, kwani Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2015-2020). Mafanikio hayo ni pamoja na mabadiliko ya hali ya uchumi, utekelezaji wa miraManispaa ya Ubungo inajivunia mafanikio kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Magufuli
Ni dhahiri sasa mafanikio yameanza kuonekana kwa kila sekta, kwani Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2015-2020). Mafanikio hayo ni pamoja na mabadiliko ya hali ya uchumi, utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo na kuongezeka kwa mapato ya ndani. Read more