newsare.net
Dk Hussein Mwinyi ameshaapishwa kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar. Kuonyesha kuwa alikuwa na usongo na kazi, baada ya kuapishwa Jumatatu, Mwinyi alikwenda moja kwa moja Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mnazi Mmoja. Kazi ikaanza papo hapo.Dk Mwinyi alivyoingia orodha ya watoto walioshika nafasi ya urais kama wazazi wao
Dk Hussein Mwinyi ameshaapishwa kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar. Kuonyesha kuwa alikuwa na usongo na kazi, baada ya kuapishwa Jumatatu, Mwinyi alikwenda moja kwa moja Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mnazi Mmoja. Kazi ikaanza papo hapo. Read more