newsare.net
Wanafunzi wawili na mwalimu mmoja wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Moshi kwa tuhuma za kuhusika kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari Uchira na Ebeneza zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.Wanafunzi, mwalimu kizimbani tuhuma za kuchoma moto mabweni
Wanafunzi wawili na mwalimu mmoja wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Moshi kwa tuhuma za kuhusika kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari Uchira na Ebeneza zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Read more