newsare.net
Al Ahly, ambayo imetwaa ubingwa wa Afrika mara nane, na Zamalek, iliyoutwaa mara tano, zinakuwa timu za kwanza kutoka nchi moja kukutana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika.Zamalek yaifuata Al Ahly na mabao ya lala salama
Al Ahly, ambayo imetwaa ubingwa wa Afrika mara nane, na Zamalek, iliyoutwaa mara tano, zinakuwa timu za kwanza kutoka nchi moja kukutana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Afrika. Read more