newsare.net
Baada ya mpango wa kufanya maandamano yasiyo na kikomo nchini nzima kushinikiza kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu kukwama, huku viongozi kadhaa wakikamatwa, vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimesema vinajipanga kuja na mkakati mwingine.Chadema, ACT Wazalendo kuja na mkakati mwingine
Baada ya mpango wa kufanya maandamano yasiyo na kikomo nchini nzima kushinikiza kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu kukwama, huku viongozi kadhaa wakikamatwa, vyama vya Chadema na ACT-Wazalendo vimesema vinajipanga kuja na mkakati mwingine. Read more











