newsare.net
Simba na Yanga wanacheza kesho kwenye Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mechi ya kiporo ya mzunguko wa kwanza raundi ya saba wa Ligi Kuu Bara huku kila mmoja akionyesha kuficha mbinu zake ambazo zinaonekana kuwapa presha mashabiki wao.VIDEO: Makocha Simba, Yanga wawatega mashabiki
Simba na Yanga wanacheza kesho kwenye Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mechi ya kiporo ya mzunguko wa kwanza raundi ya saba wa Ligi Kuu Bara huku kila mmoja akionyesha kuficha mbinu zake ambazo zinaonekana kuwapa presha mashabiki wao. Read more