newsare.net
Mchezaji wa Lille, Yusuf Yazici jana Alhamisi aliifunika AC Milan na Zlatan Ibrahimovic, alipofunga mabao yote matatu na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ulaya.Lille yamdhibiti Ibrahimovic, Arsenal yatakata Ligi ya Europa
Mchezaji wa Lille, Yusuf Yazici jana Alhamisi aliifunika AC Milan na Zlatan Ibrahimovic, alipofunga mabao yote matatu na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya mabingwa hao wa zamani wa Ulaya. Read more