newsare.net
Walimu wawili wa shule ya awali na msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo wilayani Temeke wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya mwanafunzi wa shule hiyo, Catbert Chawe.VIDEO: Walimu kizimbani tuhuma za mauaji ya mwanafunzi
Walimu wawili wa shule ya awali na msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo wilayani Temeke wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la mauaji ya mwanafunzi wa shule hiyo, Catbert Chawe. Read more