newsare.net
Gwiji wa soka wa Argentina, Diego Maradona ataendelea kubakia hospitalini kwa siku kadhaa kupata matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa damu iliyovia katika ubongo, daktari wake alisema juzi Alhamisi (Novemba 5).Maradona kuiendelea kubakia hospitalini
Gwiji wa soka wa Argentina, Diego Maradona ataendelea kubakia hospitalini kwa siku kadhaa kupata matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa damu iliyovia katika ubongo, daktari wake alisema juzi Alhamisi (Novemba 5). Read more