newsare.net
Aida ambaye ni miongoni mwa wanawake 26 walioshinda kwenye majimbo 264, aliwashinda wenzake watatu akiwamo Ally Keissy wa CCM, mbunge aliyemaliza muda wake na ambaye alijizolea umaarufu kutokana na hoja zake katika Bunge la 11.Aida Khenan alivyojiandikia historia jimbo la Nkasi Kaskazini
Aida ambaye ni miongoni mwa wanawake 26 walioshinda kwenye majimbo 264, aliwashinda wenzake watatu akiwamo Ally Keissy wa CCM, mbunge aliyemaliza muda wake na ambaye alijizolea umaarufu kutokana na hoja zake katika Bunge la 11. Read more











