newsare.net
Chama cha Wananchi (CUF) kimetengua uteuzi wa kaimu naibu katibu mkuu wake, Ali Makame Issa kwa madai ya kuchukua fomu kugombea uspika wa baraza la wawakilishi kinyume na msimamo wa chama hicho.Aliyejitosa kuwania uspika Zanzibar uteuzi wake watenguliwa
Chama cha Wananchi (CUF) kimetengua uteuzi wa kaimu naibu katibu mkuu wake, Ali Makame Issa kwa madai ya kuchukua fomu kugombea uspika wa baraza la wawakilishi kinyume na msimamo wa chama hicho. Read more











