newsare.net
Mwenyekiti wa ACT- wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefanya ziara maalum ya kuwatembelea na kuwafariji wafuasi wa chama hicho waliokumbwa na kadhia za vurugu za uchaguzi mkuu, huku naibu wake Nassor Ahmed Mazrui akidaiwa kuhamishiwa Dar es Salaam.Maalim Seif awajulia hali majeruhi Zanzibar
Mwenyekiti wa ACT- wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefanya ziara maalum ya kuwatembelea na kuwafariji wafuasi wa chama hicho waliokumbwa na kadhia za vurugu za uchaguzi mkuu, huku naibu wake Nassor Ahmed Mazrui akidaiwa kuhamishiwa Dar es Salaam. Read more











