newsare.net
Huko Instagramu ni kama kumevamiwa kutokana na ujio wa mzazi mwenzie Diamond Platnumz, Zarina Hassan, ambaye ameshuka na watoto wawili wa msanii huyo. Zari akiwa na wanawe hao, Latifah na Nillan walitua nchini juzi kati na mambo kuwa mazito kwelikweli.Nyuma ya pazia Zari na Diamond kuna jambo!
Huko Instagramu ni kama kumevamiwa kutokana na ujio wa mzazi mwenzie Diamond Platnumz, Zarina Hassan, ambaye ameshuka na watoto wawili wa msanii huyo. Zari akiwa na wanawe hao, Latifah na Nillan walitua nchini juzi kati na mambo kuwa mazito kwelikweli. Read more











