newsare.net
Licha ya kupokea taarifa na malalamiko mengi dhidi ya watoto wanaofanyiwa ukatili, Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kupitia dawati la jinsia, limesema bado linakutana na changamoto ya kesi hizo kutofika mwisho.Polisi Dar wataja sababu kesi za unyanyasaji kutofika mwisho
Licha ya kupokea taarifa na malalamiko mengi dhidi ya watoto wanaofanyiwa ukatili, Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kupitia dawati la jinsia, limesema bado linakutana na changamoto ya kesi hizo kutofika mwisho. Read more











