newsare.net
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini (Chadema) na Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kushindwa kuwa na nyaraka muhimu, Mkuu wa Wilaya ya LongidNyalandu azuiliwa kuingia Kenya
Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini (Chadema) na Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kushindwa kuwa na nyaraka muhimu, Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amethibitisha Read more











