newsare.net
Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 utaanza leo jijini hapa wakati Watanzania wakiwa na shauku ya kufahamu nani atateuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania katika muhula wa pili wa uongozi wa Dk John Magufuli.Bunge kuanza kwa kumchagua Spika
Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 utaanza leo jijini hapa wakati Watanzania wakiwa na shauku ya kufahamu nani atateuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania katika muhula wa pili wa uongozi wa Dk John Magufuli. Read more