newsare.net
Mbunge wa Kongwa anayewania uspika wa Bunge, Job Ndugai amesema kama atachaguliwa atawalinda wapinzani ndani ya Bunge na kusimamia katiba ya nchi huku akibainisha kuwa hakutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.Ndugai aahidi kutenda haki, asema hakutakuwa na kambi ya upinzani bungeni
Mbunge wa Kongwa anayewania uspika wa Bunge, Job Ndugai amesema kama atachaguliwa atawalinda wapinzani ndani ya Bunge na kusimamia katiba ya nchi huku akibainisha kuwa hakutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni. Read more











