newsare.net
Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 3(1) ikisema, ‘Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa,’ huenda miaka mitano ijayo siasa za Tanzania zitaendeshwa bila kuwepo kwa vyama vya upinzUpinzani, historia mpya nje ya Bunge
Wakati Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 3(1) ikisema, ‘Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa,’ huenda miaka mitano ijayo siasa za Tanzania zitaendeshwa bila kuwepo kwa vyama vya upinzani kwenye vyombo vya uamuzi likiwemo Bunge na mabaraza ya madiwani. Read more