newsare.net
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameongoza mamia na wananchi na wafuasi wa chama hicho katika maziko ya Abubakar Khamis Bakari yaliyofanyika mjini Unguja leo Jumatano Novemba 11, 2020Mwili mwakilishi ACT-Wazalendo wazikwa
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ameongoza mamia na wananchi na wafuasi wa chama hicho katika maziko ya Abubakar Khamis Bakari yaliyofanyika mjini Unguja leo Jumatano Novemba 11, 2020 Read more