newsare.net
Karani Ntangu (41), baba wa pacha wanne waliozaliwa Novemba 10, 2020 katika kituo cha afya Chalangwa ambao kwa sasa wanahudumiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Chunya ameomba msaada wa matunzo ya wanaye serikalini kwa kuwa kipato chache ni kidogo.Baba wa pacha wanne aomba msaada wa matunzo ya wanaye
Karani Ntangu (41), baba wa pacha wanne waliozaliwa Novemba 10, 2020 katika kituo cha afya Chalangwa ambao kwa sasa wanahudumiwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Chunya ameomba msaada wa matunzo ya wanaye serikalini kwa kuwa kipato chache ni kidogo. Read more