Select a country

Bunge kuanza kwa kumchagua Spika

Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 utaanza leo jijini hapa wakati Watanzania wakiwa na shauku ya kufahamu nani atateuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania katika muhula wa pili wa uongozi wa Dk John Magufuli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Bilionea wa A. Kusini autaka urais CAF

Uamuzi wa Motsepe kuwania urais ulitangazwa na Chama cha Soka cha Afrika Kusini (Safa) na anakuwa mtu wa pili kupambana na rais wa sasa, Ahma Ahmad baada ya Jacque Anouma wa Ivory Coast.

Watu walalamika kuuawa na mamba

Wananchi wilayani hapa wamesema changamoto ya upatuikanaji wa maji ya bomba na visima ndiyo chanzo cha watu kuliwa na mamba wanapoyafuata ziwani.

Nyalandu azuiwa mpaka wa Namanga

Aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezuiwa mpakani Namanga akitaka kuelekea nchini Kenya kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe.

Diwani, wajukuu zake wawili wafariki kwa moto Kibaha

Diwani mteule wa CCM kata ya  Kikongo mkoani Pwani, Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamekufa  baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuchomwa moto na watu wasiojulikana.

Lema adaiwa kukamatwa akikimbilia nchini Kenya

Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) amedaiwa kukamatwa akikimbilia nchini Kenya pamoja na familia yake kwa kile alichoeleza ni kwa ajili ya usalama wake.

Mikoa mitano yatajwa vinara kwa ukeketaji

Mikoa ya Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida bado inatajwa kuwa na kiwango cha juu katika suala la ukeketaji, licha ya juhudi kubwa za Serikali na taasisi zingine katika vita hiyo.

Kaze amefanikiwa

Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 nyumbani dhidi ya Simba na kuifanya timu hiyo kubaki katika nafasi ya pili kwenye msimamo.

Ndayiragije ajiamini kuwatungua Tunisia kwenye uwanja wao

Stars iliondoka nchini alfajiri ya kuamkia jana kuelekea Uturuki ambako itaweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea Tunisia tayari kwa mechi hiyo itakayochezwa mjini Tunis.

Nyalandu azuiliwa kuingia Kenya

Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini (Chadema) na Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kushindwa kuwa na nyaraka muhimu, Mkuu wa Wilaya ya Longid
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nyalandu azuiliwa kuingia Kenya

Aliyekuwa mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini (Chadema) na Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya awamu ya nne, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka nchini kupitia mpaka wa Namanga baada ya kushindwa kuwa na nyaraka muhimu, Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe amethibitisha

Mamba walivyoua watu 19 ndani ya miaka minne

Watu 19 wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba wakati wakifanya shughuli mbalimbali ndani ya Ziwa Victoria kwa kipindi cha miaka minne huku watu wanane wakijeruhiwa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Mamba walivyoua watu 19 ndani ya miaka minne

Watu 19 wamepoteza maisha kwa kuliwa na mamba wakati wakifanya shughuli mbalimbali ndani ya Ziwa Victoria kwa kipindi cha miaka minne huku watu wanane wakijeruhiwa.

Tembo watishia amani wakazi wilayani Mwanga

Tembo waliovamia katika maeneo ya makazi ya watu katika tarafa ya Jipendee, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamesababisha baadhi ya wananchi kuhofia kutoka nyumbani kwenda kwenye shughuli za uzalishaji mali, huku wanafunzi nao wakihofia kwenda shule.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Tembo watishia amani wakazi wilayani Mwanga

Tembo waliovamia katika maeneo ya makazi ya watu katika tarafa ya Jipendee, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamesababisha baadhi ya wananchi kuhofia kutoka nyumbani kwenda kwenye shughuli za uzalishaji mali, huku wanafunzi nao wakihofia kwenda shule.

Polisi Dar wataja sababu kesi za unyanyasaji kutofika mwisho

Licha ya kupokea taarifa na malalamiko mengi dhidi ya watoto wanaofanyiwa ukatili, Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kupitia dawati la jinsia, limesema bado linakutana na changamoto ya kesi hizo kutofika mwisho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Polisi Dar wataja sababu kesi za unyanyasaji kutofika mwisho

Licha ya kupokea taarifa na malalamiko mengi dhidi ya watoto wanaofanyiwa ukatili, Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam kupitia dawati la jinsia, limesema bado linakutana na changamoto ya kesi hizo kutofika mwisho.

Saada Mkuya ateuliwa mjumbe wa baraza la wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa wajumbe wanne wa Baraza la Wawakilishi akiwemo mbunge wa zamani wa Welezo, Saada Mkuya.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Saada Mkuya ateuliwa mjumbe wa baraza la wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa wajumbe wanne wa Baraza la Wawakilishi akiwemo mbunge wa zamani wa Welezo, Saada Mkuya.  

Wizara yasema robo ya wakazi Dar wanakunywa pombe kupita kiasi

Imeelezwa kuwa karibu robo ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanakunywa pombe kupita kiwango cha kawaida, hali inayochangia wengi kupata magonjwa yasiyoambukiza, utafiti umebaini.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wizara yasema robo ya wakazi Dar wanakunywa pombe kupita kiasi

Imeelezwa kuwa karibu robo ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanakunywa pombe kupita kiwango cha kawaida, hali inayochangia wengi kupata magonjwa yasiyoambukiza, utafiti umebaini.

Nyuma ya pazia Zari na Diamond kuna jambo!

Huko Instagramu ni kama kumevamiwa kutokana na ujio wa mzazi mwenzie Diamond Platnumz, Zarina Hassan, ambaye ameshuka na watoto wawili wa msanii huyo. Zari akiwa na wanawe hao, Latifah na Nillan walitua nchini juzi kati na mambo kuwa mazito kwelikweli.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Nyuma ya pazia Zari na Diamond kuna jambo!

Huko Instagramu ni kama kumevamiwa kutokana na ujio wa mzazi mwenzie Diamond Platnumz, Zarina Hassan, ambaye ameshuka na watoto wawili wa msanii huyo. Zari akiwa na wanawe hao, Latifah na Nillan walitua nchini juzi kati na mambo kuwa mazito kwelikweli.

Maalim Seif awajulia hali majeruhi Zanzibar

Mwenyekiti wa ACT- wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefanya ziara maalum ya kuwatembelea na kuwafariji wafuasi wa chama hicho waliokumbwa na kadhia za vurugu za uchaguzi mkuu, huku naibu wake Nassor Ahmed Mazrui akidaiwa kuhamishiwa Dar es Salaam.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Maalim Seif awajulia hali majeruhi Zanzibar

Mwenyekiti wa ACT- wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amefanya ziara maalum ya kuwatembelea na kuwafariji wafuasi wa chama hicho waliokumbwa na kadhia za vurugu za uchaguzi mkuu, huku naibu wake Nassor Ahmed Mazrui akidaiwa kuhamishiwa Dar es Salaam.

Aliyejitosa kuwania uspika Zanzibar uteuzi wake watenguliwa

Chama cha Wananchi (CUF) kimetengua uteuzi wa kaimu naibu katibu mkuu wake,  Ali Makame Issa kwa madai ya kuchukua fomu  kugombea uspika wa baraza la wawakilishi kinyume na msimamo wa chama hicho.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Aliyejitosa kuwania uspika Zanzibar uteuzi wake watenguliwa

Chama cha Wananchi (CUF) kimetengua uteuzi wa kaimu naibu katibu mkuu wake,  Ali Makame Issa kwa madai ya kuchukua fomu  kugombea uspika wa baraza la wawakilishi kinyume na msimamo wa chama hicho.

Kusumbua kwa mtandao wa intaneti kunavyokwamisha biashara na maisha

Mtandao ndio kila kitu katika maisha ya sasa. Wafanyabiashara na wajasiriamali wamehamisha shughuli zao mtandaoni. Hata maisha ya kijamii sasa yamo mitandaoni.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kusumbua kwa mtandao wa intaneti kunavyokwamisha biashara na maisha

Mtandao ndio kila kitu katika maisha ya sasa. Wafanyabiashara na wajasiriamali wamehamisha shughuli zao mtandaoni. Hata maisha ya kijamii sasa yamo mitandaoni.

Yanga, Simba ilikuwa ni ujanja na ubora

“Hawatuwezi”. Ndivyo mashabiki wa Simba walivyojipanga jana wakiimba baada ya beki Joash Onyango kusawazisha bao katika dakika 84 na kuamsha shangwe kwa mashabiki hao ambao walikuwa wamepoa muda mwingi wa mchezo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Yanga, Simba ilikuwa ni ujanja na ubora

“Hawatuwezi”. Ndivyo mashabiki wa Simba walivyojipanga jana wakiimba baada ya beki Joash Onyango kusawazisha bao katika dakika 84 na kuamsha shangwe kwa mashabiki hao ambao walikuwa wamepoa muda mwingi wa mchezo.

VIDEO: Ibra, Country wa Konde Boy wavuliwa jezi

Ukiachana na shangwe walizompa Konde Boy mashabiki wa Yanga, aliwaweka kwenye wakati mgumu wasanii wa lebo yake Country Boy na Ibra ambao waliovalia jezi ya Simba.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

VIDEO: Ibra, Country wa Konde Boy wavuliwa jezi

Ukiachana na shangwe walizompa Konde Boy mashabiki wa Yanga, aliwaweka kwenye wakati mgumu wasanii wa lebo yake Country Boy na Ibra ambao waliovalia jezi ya Simba.

Biden rais mpya Marekani

Trump anakuwa rais wa kwanza wa Marekani kuongoza kwa muhula mmoja tangu Goerge W. Bush ashindwe kutetea urais miaka ya tisini.