newsare.net
Kesi ya uchochezi inayomkabili makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na wenzake imeshindwa kuendelea kutokana na Serikali kushindwa kuwasilisha jalada mahakamani.Serikali ya Tanzania yashindwa kuwasilisha jalada kortini kesi ya Lissu
Kesi ya uchochezi inayomkabili makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na wenzake imeshindwa kuendelea kutokana na Serikali kushindwa kuwasilisha jalada mahakamani. Read more











