newsare.net
Tembo waliovamia katika maeneo ya makazi ya watu katika tarafa ya Jipendee, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamesababisha baadhi ya wananchi kuhofia kutoka nyumbani kwenda kwenye shughuli za uzalishaji mali, huku wanafunzi nao wakihofia kwenda shule.Tembo watishia amani wakazi wilayani Mwanga
Tembo waliovamia katika maeneo ya makazi ya watu katika tarafa ya Jipendee, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, wamesababisha baadhi ya wananchi kuhofia kutoka nyumbani kwenda kwenye shughuli za uzalishaji mali, huku wanafunzi nao wakihofia kwenda shule. Read more











