newsare.net
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kufunga mipaka ya nchi na kuwaweka katika karantini wageni wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona (COVID19).Chadema yatoa tamko kukabiliana na corona
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimeitaka Serikali ya nchi hiyo kufunga mipaka ya nchi na kuwaweka katika karantini wageni wanaoingia nchini ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona (COVID19). Read more











