newsare.net
Alikuwa mrefu. Lakini siyo ule urefu wa kukera. Kuna urefu hupoteza mvuto machoni. Huyu alikuwa na urefu wa kuvutia. Urefu ambao huongeza mvuto wa kutembea, kugeuka au kuweka pozi la kupiga picha. Dem mrefu akipiga picha na kubinua mguu huvutia zaidi tofautiSiku 30 za mateso, shida na njaa kwa sanaa na wasanii
Alikuwa mrefu. Lakini siyo ule urefu wa kukera. Kuna urefu hupoteza mvuto machoni. Huyu alikuwa na urefu wa kuvutia. Urefu ambao huongeza mvuto wa kutembea, kugeuka au kuweka pozi la kupiga picha. Dem mrefu akipiga picha na kubinua mguu huvutia zaidi tofauti na mfupi. Mfupi akibinua mguu anakuwa kama chaja ya kobe. Read more











