newsare.net
Kenya imeripoti wagonjwa wapya wanane wenye maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamefikia 15 na wengine 368 waliokutana na wagonjwa hao wanafuatiliwa. Kati yao watano ni Wakenya, wawili Wafaransa na mmoja ni wa MexicoWagonjwa wa corona Kenya wafikia 15, ndege zapigwa ‘STOP’ kuingia
Kenya imeripoti wagonjwa wapya wanane wenye maambukizi ya virusi vya corona na sasa wamefikia 15 na wengine 368 waliokutana na wagonjwa hao wanafuatiliwa. Kati yao watano ni Wakenya, wawili Wafaransa na mmoja ni wa Mexico Read more











