newsare.net
Wananchi wa Guinea leo Jumapili Machi 22, 2020 wanapiga kura kuchagua wabunge na kupiga kura ya maoni ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo wakati kukiwa na maandamano mitaani yanayotishia maambukizi ya virusi vya corona.Guinea wapiga kura, waandamana na kuibua tishio maambukizi ya corona
Wananchi wa Guinea leo Jumapili Machi 22, 2020 wanapiga kura kuchagua wabunge na kupiga kura ya maoni ya mabadiliko ya Katiba ya nchi hiyo wakati kukiwa na maandamano mitaani yanayotishia maambukizi ya virusi vya corona. Read more











