newsare.net
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawatazitaja hadharani hoteli ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuwahifadhi wageni kutoka nje ya nchi ambao wanatakiwa kuwekwa karantini kwa siku 14 kwa ajili ya uangalizi dhidi ya virusi vya corona.Makonda asema hawatazitaja hoteli wanapowekwa watu karantini kutokana na corona
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema hawatazitaja hadharani hoteli ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuwahifadhi wageni kutoka nje ya nchi ambao wanatakiwa kuwekwa karantini kwa siku 14 kwa ajili ya uangalizi dhidi ya virusi vya corona. Read more











