newsare.net
Usalama ni kipaumbele chetu cha kwanza na kwa mwaka wote tumeendelea kuboresha usalama katika utendaji wa shughuli zetu kote duniani. Natoa shukrani na pongezi za dhati kwa kila mmoja wetu kwa mchango alioutoa na kuwezesha kufikia kiwango hiki cha ufanisi.Mgodi wa Geita wapokea tuzo ya mshindi wa jumla wa usalama kimataifa 2019
Usalama ni kipaumbele chetu cha kwanza na kwa mwaka wote tumeendelea kuboresha usalama katika utendaji wa shughuli zetu kote duniani. Natoa shukrani na pongezi za dhati kwa kila mmoja wetu kwa mchango alioutoa na kuwezesha kufikia kiwango hiki cha ufanisi. Read more











